Maoni na Kazi

Maoni

  • Kusaidia kwa ajili ya ukombinzi za nafsi pia mabadiriko ya mwili, nafsi na roho ya kabila ambao kazi ya kugeuza Bibilia kwa lugha inafanyika
  • Kusaidia watu ambao kazi ya kugeuza Bibilia kwa lugha inafanyika wakomae kiroho ndani ya neno la Mungu kwa lugha zao

Kazi

Tunatumika kwa ajili ya makabila ambao kazi ya kugeuza bibilia inafanyika wawe na urahisi ya kupokea hiyo kazi na kuendelesha kwa ajili ya mabadiriko na kujitoa ndani ya kazi.

Share

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.